2 Corinthians 6:17 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo Bwana asema pia: “Ondokeni kati yao, mkajitenge nao; msiguse kitu najisi, nami nitawapokea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo, “Tokeni miongoni mwao, mkatengwe nao, asema Mwenyezi Mungu. Msiguse kitu chochote kilicho najisi, nami nitawakaribisha.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa hiyo, Tokeni kati yao, Mkatengwe nao, asema Bwana, Msiguse kitu kilicho kichafu, Nami nitawakaribisha.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
“Hivyo tokeni nje kati yao na jitengeni nao, asema Bwana. Msishike chochote kilicho kichafu, nami nitawakaribisha.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kwa hiyo Bwana asema pia: “Ondokeni kati yao, mkajitenge nao, msiguse kitu najisi, nami nitawapokea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo Bwana asema pia: “Ondokeni kati yao, mkajitenge nao; msiguse kitu najisi, nami nitawapokea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kwa hiyo tokeni miongoni mwao, mkatengwe nao, asema Bwana. Msiguse kitu cho chote kilicho najisi, nami nitawakaribisha.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kwa hiyo tokeni miongoni mwao, mkatengwe nao, asema Bwana Mwenyezi. Msiguse kitu chochote kilicho najisi, nami nitawakaribisha.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa hiyo, Tokeni kati yao, Mkatengwe nao, asema Bwana, Msiguse kitu kilicho kichafu, Nami nitawakaribisha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo Bwana asema pia: “Ondokeni kati yao, mkajitenge nao; msiguse kitu najisi, nami nitawapokea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo Bwana anasema: Tokeni kati yao, mjitenge, msiguse yenye uchafu, nami nipate kuwapokea!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa hiyo, Tokeni kati yao, Mkatengwe nao, asema Bwana, Msiguse kitu kilicho kichafu, Nami nitawakaribisha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa sababu hiyo Bwana anasema: “Mutoke kati yao, mujitenge nao. Musiguse kitu chochote kinachohesabiwa kuwa kichafu, nami nitawapokea.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa hiyo Tokeni kati yao, mkatengwe nao, asema Bwana, Wala msiguse kitu kilicho kichafu.