2 Corinthians 6:3 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kusudi tusiwe na lawama yoyote katika utumishi wetu, hatupendi kumwekea mtu yeyote kizuizi chochote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hatuweki kikwazo katika njia ya mtu yeyote, ili huduma yetu isionekane kuwa na lawama.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tusiwe kwazo la namna yo yote katika jambo lo lote, ili utumishi wetu usilaumiwe;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hatutaki watu waone makosa katika kazi yetu. Hivyo hatutendi jambo lolote litakalokuwa kikwazo kwa wengine.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kusudi tusiwe na lawama yoyote katika utumishi wetu, hatupendi kumwekea mtu yeyote kizuio chochote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kusudi tusiwe na lawama yoyote katika utumishi wetu, hatupendi kumwekea mtu yeyote kizuizi chochote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hatuweki kitu cha kukwaza katika njia ya mtu ye yote, ili huduma yetu isionekane kuwa na lawama,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hatuweki kitu cha kukwaza katika njia ya mtu yeyote, ili huduma yetu isionekane kuwa na lawama.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tusiwe kwazo la namna yoyote katika jambo lolote, ili utumishi wetu usilaumiwe;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kusudi tusiwe na lawama yoyote katika utumishi wetu, hatupendi kumwekea mtu yeyote kizuizi chochote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hakuna hata mmoja, tumkwazaye kwa jambo lo lote, utumishi wetu usibezwe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tusiwe kwazo la namna yo yote katika jambo lo lote, ili utumishi wetu usilaumiwe;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sisi hatutaki kumukwaza mutu yeyote katika jambo lolote kusudi kazi yetu isizarauliwe.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Tusiwe kwao la namna yo yote katika jambo lo lote, khuduma yetu isilaumiwe;