2 Corinthians 6:4 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Badala yake, tunajionesha kuwa kweli watumishi wa Mungu kwa kila kitu: Kwa uvumilivu mwingi wakati wa mateso, shida na taabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bali tunajidhihirisha kuwa watumishi wa Mungu kwa kila njia: katika saburi nyingi; katika dhiki, katika misiba, na katika shida;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
bali katika kila neno tujipatie sifa njema, kama watumishi wa Mungu; katika saburi nyingi, katika dhiki, katika misiba, katika shida;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini kwa kila njia tunaonesha kuwa sisi ni watumishi wa Mungu. Hatukati tamaa, ingawa tunakutana na matatizo, mambo magumu na matatizo ya kila namna.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Badala yake, tunajionyesha kuwa kweli watumishi wa Mungu kwa kila kitu: kwa uvumilivu mwingi wakati wa mateso, shida na taabu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Badala yake, tunajionesha kuwa kweli watumishi wa Mungu kwa kila kitu: kwa uvumilivu mwingi wakati wa mateso, shida na taabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
bali kama watumishi wa Mungu tuonyeshe kwa kila njia saburi nyingi katika dhiki, katika misiba, katika shida,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Bali kama watumishi wa Mungu tuonyeshe kwa kila njia: katika saburi nyingi; katika dhiki, katika misiba, na katika shida;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
bali katika kila neno tujipatie sifa njema, kama watumishi wa Mungu; katika subira nyingi, katika mateso, katika shida, katika matatizo;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Badala yake, tunajionesha kuwa kweli watumishi wa Mungu kwa kila kitu: Kwa uvumilivu mwingi wakati wa mateso, shida na taabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ila po pote twajitokeza kwamba: Sisi humtumikia Mungu, kwa hivyo twavumilia mengi; maumivu, mahangaiko, masongano,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
bali katika kila neno tujipatie sifa njema, kama watumishi wa Mungu; katika saburi nyingi, katika dhiki, katika misiba, katika shida;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini tunaonyesha katika mambo yote kwamba sisi ni watumishi wa Mungu: tumedumu sana katika mateso, katika ukosefu na katika taabu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
bali katika killa neno tukijipatia sifa njema, kama wakhudumu wa Mungu, katika saburi nyingi, kalika mateso, katika shidda, katika taabu,