2 Corinthians 6:5 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tumepigwa, tumetiwa gerezani na kuzomewa hadharani; tumefanya kazi tukachoka; tumekesha na kukaa bila kula.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
katika kupigwa, katika kufungwa gerezani na katika ghasia; katika kazi ngumu, katika kukesha na katika kufunga;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
katika mapigo, katika vifungo, katika fitina, katika taabu, katika kukesha, katika kufunga;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Tumepigwa na kutupwa gerezani. Watu wameanzisha fujo dhidi yetu. Tumefanya kazi kwa bidii, mara nyingi pasipo kula ama kulala.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Tumepigwa, tumetiwa gerezani na kuzomewa hadharani; tumefanya kazi tukachoka; tumekesha na kukaa bila kula.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tumepigwa, tumetiwa gerezani na kuzomewa hadharani; tumefanya kazi tukachoka; tumekesha na kukaa bila kula.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
katika kupigwa, katika kufungwa gerezani na katika ghasia, katika kazi ngumu, katika kukesha na katika njaa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
katika kupigwa, katika kufungwa gerezani na katika ghasia; katika kazi ngumu, katika kukesha na katika kufunga;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
katika mapigo, katika vifungo, katika fitina, katika taabu, katika kukesha, katika kufunga;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tumepigwa, tumetiwa gerezani na kuzomewa hadharani; tumefanya kazi tukachoka; tumekesha na kukaa bila kula.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
mapigo, mafungo, mashambulio, masumbuko, kukesha na kufunga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
katika mapigo, katika vifungo, katika fitina, katika taabu, katika kukesha, katika kufunga;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tumepigwa, tumetiwa ndani ya kifungo, wamefanya fujo juu yetu, tumefanya kazi ngumu, tumekoseshwa usingizi na kukaa bila kula.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
kafika mapigo, katika vifungo, katika fitina, katika kazi, katika kukesha, katika kufunga;