2 Corinthians 6:8 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tuko tayari kupata heshima na kudharauliwa, kulaumiwa na kusifiwa. Twadhaniwa kuwa waongo, kumbe twasema kweli;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
katika utukufu na katika kudharauliwa, katika sifa mbaya na katika sifa nzuri; tukionekana kama wadanganyaji, lakini tukiwa wakweli;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kwa utukufu na aibu; kwa kunenwa vibaya na kunenwa vema; kama wadanganyao, bali tu watu wa kweli;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Baadhi ya watu wanatuheshimu, lakini wengine wanatudhihaki. Wengine wanasema mema juu yetu, lakini wengine wasema mabaya juu yetu. Wengine wanatusema kuwa tu waongo, lakini tunasema kweli.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Tuko tayari kupata heshima na kudharauliwa, kulaumiwa na kusifiwa. Twadhaniwa kuwa waongo, kumbe twasema kweli;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tuko tayari kupata heshima na kudharauliwa, kulaumiwa na kusifiwa. Twadhaniwa kuwa waongo, kumbe twasema kweli;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
katika utukufu na katika kudharauliwa, katika sifa mbaya na katika sifa nzuri, kama wadanganyaji lakini tukiwa wakweli
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
katika utukufu na katika kudharauliwa; katika sifa mbaya na katika sifa nzuri; tukiwa kama wadanganyaji, lakini tukiwa wakweli;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kwa utukufu na aibu; kwa kunenwa vibaya na kunenwa vema; kama wadanganyao, bali tu watu wa kweli;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tuko tayari kupata heshima na kudharauliwa, kulaumiwa na kusifiwa. Twadhaniwa kuwa waongo, kumbe twasema kweli;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ikiwa twatukuzwa, au ikiwa twabezwa; ikiwa twasingiziwa, au ikiwa twashangiliwa. Tuko kama wapotezaji, lakini tu wa kweli;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kwa utukufu na aibu; kwa kunenwa vibaya na kunenwa vema; kama wadanganyao, bali tu watu wa kweli;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tunaheshimiwa na kuzarauliwa, tunatukanwa na kusifiwa. Tunahesabiwa kama wenye kusema uongo, ingawa sisi tunasema ukweli,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
kwa utukufu na aibu, kwa kunenwa vibaya na kunenwa vyema; kama wadanganyao, bali watu wa kweli;