2 Corinthians 6:9 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kama wasiojulikana, kumbe twajulikana kwa wote; kama waliokufa, lakini mwonavyo, sisi ni hai kabisa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
tukiwa maarufu, lakini tukihesabiwa kama tusiojulikana; tukiwa kama wanaokufa, lakini tunaishi; tukipigwa, lakini hatuuawi;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kama wasiojulikana, bali wajulikanao sana; kama wanaokufa, kumbe tu hai; kama wanaorudiwa, bali wasiouawa;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kwa wengine hatufahamiki, lakini twajulikana sana. Tunaonekana kama watu wanaostahili kufa, lakini angalia! Twadumu kuishi. Tunaadhibiwa, lakini hatuuawi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
kama wasiojulikana, kumbe twajulikana kwa wote, kama waliokufa, lakini mwonavyo, sisi ni wazima kabisa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kama wasiojulikana, kumbe twajulikana kwa wote; kama waliokufa, lakini mwonavyo, sisi ni hai kabisa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
tukiwa maarufu lakini tukihesabiwa kama tusiojulikana, tukiwa kama wanaokufa lakini tunaishi, tukipigwa lakini hatuuawi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
tukiwa maarufu, lakini tukihesabiwa kama tusiojulikana; tukiwa kama wanaokufa, lakini tunaishi; tukipigwa, lakini hatuuawi;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kama wasiojulikana, bali wajulikanao sana; kama wanaokufa, kumbe tu hai; kama wanaorudiwa, bali wasiouawa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kama wasiojulikana, kumbe twajulikana kwa wote; kama waliokufa, lakini mwonavyo, sisi ni hai kabisa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
tuko kama wasiojulika, lakini tumetambulikana; tuko kama wenye kufa, lakini tazameni, tu wenye kuishi! Tuko kama wenye kupondwa, lakini hatuuawi;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kama wasiojulikana, bali wajulikanao sana; kama wanaokufa, kumbe tu hai; kama wanaorudiwa, bali wasiouawa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kama watu wasiojulikana ingawa tunajulikana vizuri, kama wanaokufa ingawa sisi ni wazima. Tunaazibiwa lakini hatuuawi,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
kama wasiojulika, bali wajulikao sana; kama wanaokufa, kumbe tu hayi; kama wanaorudiwa, bali wasiouawa;