2 Corinthians 7:3 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sisemi mambo haya kwa ajili ya kumhukumu mtu; maana, kama nilivyokwisha sema, nyinyi mko mioyoni mwetu, tufe pamoja, tuishi pamoja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sisemi haya ili kuwahukumu, kwa kuwa nilisema mwanzo kwamba ninyi mko mioyoni mwetu hata kwa kufa pamoja au kuishi pamoja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sisemi neno hilo ili niwahukumu ninyi kuwa na hatia; kwa maana nimetangulia kusema, ya kwamba ninyi mmo mioyoni mwetu hata kwa kufa pamoja, na kuishi pamoja.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Sisemi haya kuwalaumu. Nimekwishawaeleza kuwa tunawapenda sana kiasi kwamba hakuna chochote katika maisha ama katika kifo kitakachotutenganisha na ninyi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Sisemi mambo haya kwa ajili ya kumhukumu mtu; maana, kama nilivyokwisha sema, ninyi mko mioyoni mwetu, tufe pamoja, tuishi pamoja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sisemi mambo haya kwa ajili ya kumhukumu mtu; maana, kama nilivyokwisha sema, nyinyi mko mioyoni mwetu, tufe pamoja, tuishi pamoja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sisemi haya ili kuwahukumu, kwa kuwa nilisema mwanzo, kwamba ninyi mko mioyoni mwetu hata kwa kufa pamoja au kuishi pamoja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sisemi haya ili kuwahukumu, kwa kuwa nilisema mwanzo, kwamba ninyi mko mioyoni mwetu hata kwa kufa pamoja au kuishi pamoja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sisemi neno hilo ili niwahukumu ninyi kuwa na hatia; kwa maana nimetangulia kusema, ya kwamba ninyi mmo mioyoni mwetu hata kwa kufa pamoja, na kuishi pamoja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sisemi mambo haya kwa ajili ya kumhukumu mtu; maana, kama nilivyokwisha sema, nyinyi mko mioyoni mwetu, tufe pamoja, tuishi pamoja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siyasemei kwamba: Niwapatilize. Kwani nimesema kwanza, ya kuwa mmo mioyoni mwetu, tufe pamoja, kisha tupate kuishi pamoja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sisemi neno hilo ili niwahukumu ninyi kuwa na hatia; kwa maana nimetangulia kusema, ya kwamba ninyi mmo mioyoni mwetu hata kwa kufa pamoja, na kuishi pamoja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sisemi vile kwa kuwahukumu. Kwa maana, kama vile nilivyokwisha kusema, ninyi ni wapendwa wetu, ikiwa katika kuishi au katika kufa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Sisemi neno hili illi niwahukumu ninyi; kwa maana nimetangulia kusema ya kwamba ninyi m katika mioyo yetu mpaka kufa pamoja, na kuishi pamoja.