2 Corinthians 7:4 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nina imani kubwa sana ninaposema nanyi; naona fahari kubwa juu yenu! Katika taabu zetu nimepata kitulizo kikubwa na kufurahi mno.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nina ujasiri mwingi kwa ajili yenu; naona fahari juu yenu. Nimejawa na faraja. Nina furaha kupita kiasi katika mateso yetu yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ninao ujasiri mwingi kwenu; naona fahari kuu juu yenu. Nimejaa faraja, katika dhiki yetu yote nimejaa furaha ya kupita kiasi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ninajisikia kwamba ninaweza kuwaambia lolote. Ninajivunia sana ninyi. Licha ya matatizo yote tuliyoyapata, nimetiwa moyo sana na ninajisikia kuwa mwenye furaha sana.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nina imani kubwa sana ninaposema nanyi; naona fahari kubwa juu yenu! Katika taabu zetu nimepata kitulizo kikubwa na kufurahi mno.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nina imani kubwa sana ninaposema nanyi; naona fahari kubwa juu yenu! Katika taabu zetu nimepata kitulizo kikubwa na kufurahi mno.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mara nyingi najivuna kwa ajili yenu, naona fahari juu yenu, nimejawa na faraja, nina furaha kupita kiasi katika mateso yetu yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mara nyingi najivuna kwa ajili yenu; naona fahari juu yenu. Nimejawa na faraja. Nina furaha kupita kiasi katika mateso yetu yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ninao ujasiri mwingi kwenu; naona fahari kuu juu yenu. Nimejaa faraja, katika dhiki yetu yote nimejaa furaha ya kupita kiasi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nina imani kubwa sana ninaposema nanyi; naona fahari kubwa juu yenu! Katika taabu zetu nimepata kitulizo kikubwa na kufurahi mno.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Nikisema nanyi nasema waziwazi kabisa, tena yako mengi yenu, ninayojivunia. Moyo wangu umetulia wote, ukafuliza kuchangamka, hata tukipatwa na maumivu mengi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ninao ujasiri mwingi kwenu; naona fahari kuu juu yenu. Nimejaa faraja, katika dhiki yetu yote nimejaa furaha ya kupita kiasi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi ninawaaminia sana na kujivuna kwa ajili yenu. Katika mateso yetu yote, ninafarijiwa sana na kujazwa na furaha.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nina ujasiri mwingi kwemi; kujisifu kwangu kwa ajili yenu ni kwingi. Nimejawa na faraja, katika mateso yetu yote nimejaa furaha ya kupita kiasi.