2 Corinthians 7:6 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Mungu, mwenye kuwapa shime wanyonge, alitupa moyo sisi pia kwa kuja kwake Tito.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bali Mungu, yeye awafarijie wenye huzuni, alitufariji kwa Tito kufika kwetu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini Mungu, mwenye kuwafariji wanyonge, alitufariji kwa kuja kwake Tito.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini Mungu huwapa moyo wale wanaosumbuliwa, na kwa hakika na sisi alitupa moyo kwa kumleta Tito kwetu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini Mungu, mwenye kuwapa shime wanyonge alitupa moyo sisi pia kwa kuja kwake Tito.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Mungu, mwenye kuwapa shime wanyonge, alitupa moyo sisi pia kwa kuja kwake Tito.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Bali Mungu, yeye awafarijie wenye huzuni, alitufariji kwa kufika kwake Tito,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Bali Mungu, yeye awafarijie wenye huzuni, alitufariji kwa kufika kwake Tito.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini Mungu, mwenye kuwafariji wanyonge, alitufariji kwa kuja kwake Tito.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Mungu, mwenye kuwapa shime wanyonge, alitupa moyo sisi pia kwa kuja kwake Tito.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Mungu anayewatuliza wanyenyekevu mioyoni mwao, alitutuliza sisi kwa kuja kwake Tito.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini Mungu, mwenye kuwafariji wanyonge, alitufariji kwa kuja kwake Tito.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Mungu anayefariji watu wanyenyekevu, ametufariji kwa njia ya kufika kwa Tito.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Illakini Mungu, mwenje kuwafariji wanyonge, alitufariji kwa kuwapo kwake Tito.