2 Corinthians 8:12 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana ikiwa mtu ana moyo wa kusaidia, Mungu hupokea kila anachoweza kutoa; hadai zaidi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa kama nia ya kutoa ipo, kitolewacho kinakubalika kulingana na kile mtu alicho nacho, wala si kwa kile ambacho hana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana, kama nia ipo, hukubaliwa kwa kadiri ya alivyo navyo mtu, si kwa kadiri ya asivyo navyo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ikiwa mnataka kutoa, sadaka yenu itapokelewa. Sadaka yenu itahukumiwa kutokana na kile mlicho nacho, si kwa kile msichonacho.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maana ikiwa mtu ana moyo wa kusaidia, Mungu hupokea kila anachoweza kutoa: hadai zaidi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana ikiwa mtu ana moyo wa kusaidia, Mungu hupokea kila anachoweza kutoa; hadai zaidi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa kama nia ya kutoa ipo, kitolewacho kinakubalika kulingana na kile mtu alicho nacho, wala si kwa kile ambacho hana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa kama nia ya kutoa ipo, kitolewacho kinakubalika kulingana na kile mtu alicho nacho, wala si kwa kile ambacho hana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana, kama nia ipo, hukubaliwa kwa kadiri ya alivyo navyo mtu, si kwa kadiri ya asivyo navyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana ikiwa mtu ana moyo wa kusaidia, Mungu hupokea kila anachoweza kutoa; hadai zaidi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani kama yako mapenzi, mtu hupendezeka akivitoa, alivyo navyo, asivitoe, asivyo navyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana, kama nia ipo, hukubaliwa kwa kadiri ya alivyo navyo mtu, si kwa kadiri ya asivyo navyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana kama mutu akiwa na moyo wa kutoa, Mungu anakubali kitu anachotoa kufuatana na kile anachokuwa nacho, wala si kufuatana na kile asichokuwa nacho.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)