2 Corinthians 9:1 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Si lazima kuandika zaidi kuhusu huduma yenu hiyo kwa ajili ya watu wa Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakuna haja ya kuwaandikia kuhusu huduma hii kwa watakatifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa habari za kuwahudumia watakatifu sina haja ya kuwaandikia.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kwa hakika sina haja ya kuwaandikia ninyi juu ya msaada huu kwa watu wa Mungu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Si lazima kuandika zaidi kuhusu huduma hiyo yenu kwa ajili ya watu wa Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Si lazima kuandika zaidi kuhusu huduma yenu hiyo kwa ajili ya watu wa Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakuna sababu ya mimi kuwaandikia kuhusu huduma hii itolewayo kwa ajili ya watakatifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakuna haja yangu kuwaandikia kuhusu huduma hii itolewayo kwa ajili ya watakatifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kuhusu kuwahudumia watakatifu sina haja ya kuwaandikia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Si lazima kuandika zaidi kuhusu huduma yenu hiyo kwa ajili ya watu wa Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa ajili ya hayo matumikio yanayochangiwa watakatifu hainipasi kuwaandikia ninyi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa habari za kuwahudumia watakatifu sina haja ya kuwaandikia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Si lazima niwaandikie juu ya musaada unaotumwa kwa watu wa Mungu wanaokuwa katika Yudea.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
KWA khabari za kuwakhudumia watakatifu sina haja ya kuwaandikia.