2 Corinthians 9:11 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeye atawatajirisha nyinyi daima kwa kila kitu, ili watu wapate kumshukuru Mungu kwa ajili ya zawadi zenu wanazozipokea kwa mikono yetu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtatajirishwa kwa kila namna ili mpate kuwa wakarimu kila wakati, na kupitia kwetu ukarimu wenu utamletea Mungu shukrani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
mkitajirishwa katika vitu vyote mpate kuwa na ukarimu wote, umpatiao Mungu shukrani kwa kazi yetu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mungu atawatajirisha katika namna zote ili mweze kutoa kwa uhuru kila mara. Na kutoa kwenu kulikosimamiwa na sisi kutawafanya watu wamshukuru Mungu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yeye atawatajirisha ninyi daima kwa kila kitu, ili watu wapate kumshukuru Mungu kwa ajili ya zawadi zenu wanazozipokea kwa mikono yetu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeye atawatajirisha nyinyi daima kwa kila kitu, ili watu wapate kumshukuru Mungu kwa ajili ya zawadi zenu wanazozipokea kwa mikono yetu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtatajirishwa kwa kila namna ili mpate kuwa wakarimu kila wakati, ambako kwa kupitia kwetu, ukarimu wenu utamletea Mungu shukrani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtatajirishwa kwa kila namna ili mpate kuwa wakarimu kila wakati, na kupitia kwetu, ukarimu wenu utamletea Mungu shukrani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
mkitajirishwa katika vitu vyote mpate kuwa na ukarimu wote, umpatiao Mungu shukrani kwa kazi yetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeye atawatajirisha nyinyi daima kwa kila kitu, ili watu wapate kumshukuru Mungu kwa ajili ya zawadi zenu wanazozipokea kwa mikono yetu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo mtakuwa wenye mali katika mambo yote, mpate mioyo yenye neno moja tu; hii ndiyo inayomfanyia Mungu kazi na kutupa mikononi vipaji vya kumtukuza.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
mkitajirishwa katika vitu vyote mpate kuwa na ukarimu wote, umpatiao Mungu shukrani kwa kazi yetu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivi mutakuwa watajiri katika vitu vyote, kusudi siku zote muweze kuonyesha moyo wa kutoa, hata watu wengi watamushukuru Mungu kwa ajili ya musaada tunaowafikishia kutoka kwenu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
mkitajirishwa katika vitu vyote mpate kuwa na ukarimu wote, umpatiao Mungu shukrani kwa kazi yetu.