2 Corinthians 9:4 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Isije ikawa kwamba watu wa Makedonia watakapokuja pamoja nami tukawakuta hamko tayari, hapo sisi tutaaibika — bila kutaja aibu mtakayopata nyinyi wenyewe — kwa sababu tutakuwa tumewatumainia kupita kiasi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana nikija na Mmakedonia yeyote na kuwakuta hamko tayari, sisi, na hata ninyi pia, tungeona haya kwa kuwa na ujasiri hivi katika ninyi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kusudi, wakija Wamakedonia pamoja nami, na kuwakuta hamjawa tayari, tusije tukatahayarika sisi, (tusiseme ninyi), katika hali hiyo ya kutumaini.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ikiwa baadhi ya Wamakedonia walio wengi wangefuatana nami na kuwakuta hamko tayari, tutaaibika. Tutaibika kwa kuwa tulikuwa na uhakika sana juu yenu. Na ninyi mtaaibika pia!
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Isije ikawa kwamba watu wa Makedonia watakapokuja pamoja nami tukawakuta hamko tayari, hapo sisi tutaaibika—bila kutaja aibu mtakayopata ninyi wenyewe—kwa sababu tutakuwa tumewatumainia kupita kiasi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Isije ikawa kwamba watu wa Makedonia watakapokuja pamoja nami tukawakuta hamko tayari, hapo sisi tutaaibika — bila kutaja aibu mtakayopata nyinyi wenyewe — kwa sababu tutakuwa tumewatumainia kupita kiasi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana kama nikija na Mmakedonia ye yote na kuwakuta hamjawa tayari, tutaona aibu kusema cho chote juu yenu katika matoleo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana kama nikija na Mmakedonia yeyote na kuwakuta hamjawa tayari, tutaona aibu kusema chochote juu yenu katika matoleo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kusudi, wakija Wamakedonia pamoja nami, na kuwakuta hamjawa tayari, tusije tukatahayarika sisi, (tusiseme ninyi), katika hali hiyo ya kutumaini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Isije ikawa kwamba watu wa Makedonia watakapokuja pamoja nami tukawakuta hamko tayari, hapo sisi tutaaibika – bila kutaja aibu mtakayopata nyinyi wenyewe – kwa sababu tutakuwa tumewatumainia kupita kiasi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maana kama Wamakedonia wanakuja pamoja nami, wakawaona ninyi, hamkujitengeneza, tutakuwa waongo sisi, nisiseme: Ninyi, kwa ajili ya hayo majivuno yetu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kusudi, wakija Wamakedonia pamoja nami, na kuwakuta hamjawa tayari, tusije tukatahayarika sisi, (tusiseme ninyi), katika hali hiyo ya kutumaini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana kama watu wa Makedonia wanakuja pamoja nami na tusipowakuta tayari, sisi tutapata haya sana kwa kuona jinsi nilivyowaaminia, nami sisemi kitu juu ya haya ambayo ninyi mutaweza kupata.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
kusudi, wakija Wamakedoni pamoja nami, na kuwakuta hamjawa tayari, tusije tukatahayarika sisi, tusiseme ninyi, katika hali hii va kutumaini.