2 Corinthians 9:9 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: “Yeye hutoa kwa ukarimu, huwapa maskini; wema wake wadumu milele.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama ilivyoandikwa: “Ametawanya vipawa vyake kwa ukarimu akawapa maskini; haki yake hudumu milele.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kama ilivyoandikwa, Ametapanya, amewapa maskini, Haki yake yakaa milele.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kama Maandiko yanavyosema, “Hawakuwa na choyo waliwapa maskini. Mambo mema waliyoyafanya yatadumu millele.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: “Yeye hutoa kwa ukarimu, huwapa maskini, wema wahudumu milele.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: “Yeye hutoa kwa ukarimu, huwapa maskini; wema wake wadumu milele.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama ilivyoandikwa: “Ametawanya vipawa vyake kwa ukarimu akawapa maskini; haki yake yadumu milele.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama ilivyoandikwa: “Ametawanya vipawa vyake kwa ukarimu akawapa maskini; haki yake hudumu milele.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kama ilivyoandikwa, Ametapanya, amewapa maskini, Haki yake yakaa milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: “Yeye hutoa kwa ukarimu, huwapa maskini; wema wake wadumu milele.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kama ilivyoandikwa: Alizimwaga, akawagawia wao waliozikosa; huu wongofu wake hukaa kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kama ilivyoandikwa, Ametapanya, amewapa maskini, Haki yake yakaa milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama vile inavyoandikwa katika Maandiko Matakatifu: “Ametoa kwa uwingi, amewapa wamasikini. Haki yake inadumu milele.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
kama ilivyoandikwa, Ametapanya, amewapa maskini, Haki yake yakaa milele.