2 John 1:8 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, jihadharini nyinyi wenyewe ili msije mkapoteza kile mlichokishughulikia, bali mpate tuzo lenu kamili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jihadharini msije mkapoteza kile mlichokitenda, bali mpate kupewa thawabu kamilifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jiangalieni nafsi zenu msiyapoteze mliyoyatenda, bali mpokee thawabu timilifu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Muwe waangalifu! Msiipoteze thawabu tuliyokwisha kuitendea kazi. Mhakikishe mnaipokea thawabu kamili.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, jihadharini ninyi wenyewe ili msije mkapoteza kile mlichokishugulikia, bali mpate tuzo lenu kamili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, jihadharini nyinyi wenyewe ili msije mkapoteza kile mlichokishughulikia, bali mpate tuzo lenu kamili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jihadharini msije mkapoteza kile mlichokitenda, bali mpate kupewa thawabu kamilifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jihadharini msije mkapoteza kile mlichokitenda, bali mpate kupewa thawabu kamilifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jiangalieni nafsi zenu msiyapoteze mliyoyatenda, bali mpokee thawabu timilifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, jihadharini nyinyi wenyewe ili msije mkapoteza kile mlichokishughulikia, bali mpate tuzo lenu kamili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jiangalieni, msiyapoteze mapato ya kazi zenu, ila mpewe mshahara wote!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jiangalieni nafsi zenu msiyapoteze mliyoyatenda, bali mpokee thawabu timilifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, mujiangalie wenyewe, kusudi musipoteze matunda ya kazi yenu, lakini mupokee zawadi kamili.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)