2 Kings 1:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Elia akawaendea. Wale wajumbe wakarudi kwa mfalme, naye akawauliza, “Mbona mmerudi?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wajumbe waliporudi kwa mfalme, akawauliza, “Kwa nini mmerudi?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wale wajumbe wakarudi, na mfalme akawaambia, Mbona mmerudi?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Elia akawaendea. Wale wajumbe wakarudi kwa mfalme, naye akawauliza, “Mbona mmerudi?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wajumbe waliporudi kwa mfalme, akawauliza, “Kwa nini mmerudi?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wajumbe waliporudi kwa mfalme, akawauliza, “Kwa nini mmerudi?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wale wajumbe wakarudi, na mfalme akawaambia, Mbona mmerudi?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Elia akawaendea. Wale wajumbe wakarudi kwa mfalme, naye akawauliza, “Mbona mmerudi?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wajumbe waliporudi kwake mfalme, akawauliza: Mbona mnarudi?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wale wajumbe wakarudi, na mfalme akawaambia, Mbona mmerudi?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Elia akawaendea. Wale wajumbe wakarudi kwa mufalme, naye akawauliza: “Mbona mumerudia?”