2 Kings 1:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme akauliza, “Ni mtu gani huyo aliyekutana nanyi na kuwaambieni mambo hayo?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mfalme akawauliza, “Alikuwa mtu wa namna gani ambaye mlikutana naye, akawaambia hili?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawaambia, Je! Mtu yule aliyetokea, akaonana nanyi, akawaambia maneno hayo, alikuwa mtu wa namna gani?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme akauliza, “Ni mtu gani huyo aliyekutana nanyi na kuwaambieni mambo hayo?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mfalme akawauliza, “Alikuwa mtu wa namna gani ambaye mlikutana naye na kuwaambia hili?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mfalme akawauliza, “Alikuwa mtu wa namna gani ambaye mlikutana naye, akawaambia hili?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawaambia, Je! Mtu yule aliyetokea, akaonana nanyi, akawaambia maneno hayo, alikuwa mtu wa namna gani?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mfalme akauliza, “Ni mtu gani huyo aliyekutana nanyi na kuwaambieni mambo hayo?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawauliza: Yule mtu aliyewajia na kuwaambia maneno hayo alikuwa na sura gani?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawaambia, Je! Mtu yule aliyetokea, akaonana nanyi, akawaambia maneno hayo, alikuwa mtu wa namna gani?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme akauliza: “Ni mutu gani yule aliyekutana nanyi na kuwaambia mambo hayo?”