2 Kings 10:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
alikutana na jamaa za marehemu Ahazia mfalme wa Yuda akawauliza, “Nyinyi ni kina nani?” Wakamjibu, “Sisi ni jamaa za Ahazia. Tumeteremka huku kuwatembelea wana wa mfalme na wana wa malkia.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yehu akakutana na watu wa jamaa ya Ahazia mfalme wa Yuda, akauliza, “Ninyi ni nani?” Wao wakasema, “Sisi ni jamaa ya Ahazia, nasi tumeshuka kuwasalimu jamaa ya mfalme na ya mama malkia.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yehu akakutana na ndugu za Ahazia mfalme wa Yuda, akawauliza, Ni nani ninyi? Wakamjibu, Sisi tu ndugu zake Ahazia; tunashuka kuwasalimu wana wa mfalme na wana wa malkia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
alikutana na jamaa za marehemu Ahazia mfalme wa Yuda akawauliza, “Nyinyi ni kina nani?” Wakamjibu, “Sisi ni jamaa za Ahazia. Tumeteremka huku kuwatembelea wana wa mfalme na wana wa malkia.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yehu akakutana na watu wa jamaa ya Ahazia mfalme wa Yuda akauliza, “Ninyi ni nani?” Wao wakasema, “Sisi ni jamaa ya Ahazia, nasi tumeshuka kuwasalimu jamaa ya mfalme na ya mama malkia.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yehu akakutana na watu wa jamaa ya Ahazia mfalme wa Yuda, akauliza, “Ninyi ni nani?” Wao wakasema, “Sisi ni jamaa ya Ahazia, nasi tumeshuka kuwasalimu jamaa ya mfalme na ya mama malkia.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yehu akakutana na ndugu za Ahazia mfalme wa Yuda, akawauliza, Ni nani ninyi? Wakamjibu, Sisi tu ndugu zake Ahazia; tunashuka kuwasalimu wana wa mfalme na wana wa malkia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
alikutana na jamaa za marehemu Ahazia mfalme wa Yuda akawauliza, “Nyinyi ni kina nani?” Wakamjibu, “Sisi ni jamaa za Ahazia. Tumeteremka huku kuwatembelea wana wa mfalme na wana wa malkia.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yehu akawakuta ndugu zake Ahazia, mfalme wa Wayuda, akawauliza: Ninyi wa nani? Wakajibu: Sisi ndugu zake Ahazia, tukashuka kuamkiana nao wana wa mfalme na wana wa bibi wake mfalme.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yehu akakutana na ndugu za Ahazia mfalme wa Yuda, akawauliza, Ni nani ninyi? Wakamjibu, Sisi tu ndugu zake Ahazia; tunashuka kuwasalimu wana wa mfalme na wana wa malkia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
alikutana na watu wa jamaa ya marehemu Ahazia mufalme wa Yuda akawauliza: “Ninyi ni wa nani?” Wakamujibu: “Sisi ni watu wa jamaa ya Ahazia. Tumeteremuka huku kuwatembelea wana wa mufalme na wana wa malkia.”