2 Kings 10:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akamwambia, “Fuatana nami ili ujionee jinsi nilivyo mwaminifu kwa Mwenyezi-Mungu.” Basi, wakasafiri pamoja garini mwake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yehu akasema, “Twende pamoja ukaone wivu wangu kwa ajili ya Mwenyezi Mungu.” Hivyo wakasafiri pamoja kwenye gari lake la vita.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akasema, Fuatana nami, ukaone wivu wangu kwa Bwana. Wakampandisha garini mwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akamwambia, “Fuatana nami ili ujionee jinsi nilivyo mwaminifu kwa Mwenyezi-Mungu.” Basi, wakasafiri pamoja garini mwake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yehu akasema, “Twende pamoja ukaone wivu wangu kwa ajili ya BWANA.” Hivyo wakasafiri pamoja kwenye gari lake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yehu akasema, “Twende pamoja ukaone wivu wangu kwa ajili ya bwana.” Hivyo wakasafiri pamoja kwenye gari lake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akasema, Fuatana nami, ukaone wivu wangu kwa BWANA. Wakampandisha garini mwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akamwambia, “Fuatana nami ili ujionee jinsi nilivyo mwaminifu kwa Mwenyezi-Mungu.” Basi, wakasafiri pamoja garini mwake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akamwambia: Twende pamoja, uone wivu wangu, nilio nao kwa ajili ya Bwana! Kisha akaenda naye garini mwake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akasema, Fuatana nami, ukaone wivu wangu kwa BWANA. Wakampandisha garini mwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akamwambia: “Fuatana nami kusudi ujionee jinsi ninavyokuwa mwaminifu kwa Yawe.” Basi, wakasafiri pamoja katika gari lake.