2 Kings 10:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walipofika Samaria, Yehu aliua jamaa yote ya Ahabu bila kumwacha hata mmoja wao. Ikawa sawa kama Mwenyezi-Mungu alivyomwambia Elia itakavyokuwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yehu alipofika Samaria, akawaua wale wote waliokuwa wamesalia wa jamaa ya Ahabu, akawaangamiza, sawasawa na neno la Mwenyezi Mungu alilosema kupitia Ilya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye alipofika Samaria, aliwapiga wote waliomsalia Ahabu katika Samaria, hata akamwangamiza, sawasawa na neno la Bwana alilomwambia Eliya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walipofika Samaria, Yehu aliua jamaa yote ya Ahabu bila kumwacha hata mmoja wao. Ikawa sawa kama Mwenyezi-Mungu alivyomwambia Elia itakavyokuwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yehu alipofika Samaria, akawaua wale wote waliokuwa wamesalia wa jamaa ya Ahabu, akawaangamiza, sawasawa na neno la BWANA alilosema kwa kupitia Eliya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yehu alipofika Samaria, akawaua wale wote waliokuwa wamesalia wa jamaa ya Ahabu, akawaangamiza, sawasawa na neno la bwana alilosema kupitia Ilya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye alipofika Samaria, aliwaua wote wa Ahabu waliokuwa wamebakia katika Samaria, hata akamwangamiza, sawasawa na neno la BWANA alilomwambia Eliya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walipofika Samaria, Yehu aliua jamaa yote ya Ahabu bila kumwacha hata mmoja wao. Ikawa sawa kama Mwenyezi-Mungu alivyomwambia Elia itakavyokuwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipofika Samaria, akawaua wote waliosalia huko Samaria wa mlango wa Ahabu, mpaka akiwaangamiza kabisa kwa lile neno la Bwana, alilomwambia Elia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye alipofika Samaria, aliwapiga wote waliomsalia Ahabu katika Samaria, hata akamwangamiza, sawasawa na neno la BWANA alilomwambia Eliya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walipofika Samaria, Yehu aliua jamaa yote ya Ahabu bila kumwacha hata mumoja wao, sawa vile Yawe alivyomwambia Elia itakavyokuwa.