2 Kings 10:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yehu akawakusanya watu wa Samaria na kuwaambia, “Mfalme Ahabu alimtumikia Baali kidogo tu, lakini mimi nitamtumikia zaidi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Yehu akawaleta watu wote pamoja na kuwaambia, “Ahabu alimtumikia Baali kidogo. Lakini Yehu atamtumikia zaidi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yehu akawakusanya watu wote, akawaambia, Ahabu alimtumikia Baali kidogo; bali Yehu atamtumikia sana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yehu akawakusanya watu wa Samaria na kuwaambia, “Mfalme Ahabu alimtumikia Baali kidogo tu, lakini mimi nitamtumikia zaidi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Yehu akawaleta watu wote pamoja na kuwaambia, “Ahabu alimtumikia Baali kidogo, Yehu atamtumikia zaidi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Yehu akawaleta watu wote pamoja na kuwaambia, “Ahabu alimtumikia Baali kidogo. Lakini Yehu atamtumikia zaidi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yehu akawakusanya watu wote, akawaambia, Ahabu alimtumikia Baali kidogo; bali Yehu atamtumikia sana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yehu akawakusanya watu wa Samaria na kuwaambia, “Mfalme Ahabu alimtumikia Baali kidogo tu, lakini mimi nitamtumikia zaidi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yehu akawakusanya watu wote, akawaambia: Ahabu alimtumikia Baali kidogo tu, lakini Yehu atamtumikia kabisa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yehu akawakusanya watu wote, akawaambia, Ahabu alimtumikia Baali kidogo; bali Yehu atamtumikia sana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yehu akawakusanya watu wa Samaria na kuwaambia: “Mufalme Ahabu alimutumikia Bali kidogo tu, lakini mimi nitamutumikia zaidi.