2 Kings 10:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kwa kuwa mnao miongoni mwenu wana wa mfalme, kadhalika mnao farasi na magari, silaha na miji ya ngome,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mara tu barua hii itakapokufikia, kwa kuwa wana wa bwana wako wapo pamoja nawe, nawe una magari ya vita na farasi, mji wenye ngome na silaha,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Barua hii mara ikiwawasilia, kwa kuwa mna wana wa bwana wenu pamoja nanyi, tena kwenu kuna magari na farasi, na mji wenye boma, na silaha;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kwa kuwa mnao miongoni mwenu wana wa mfalme, kadhalika mnao farasi na magari, silaha na miji ya ngome,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mara tu barua hii itakapokufikia, kwa kuwa wana wa bwana wako wapo pamoja nawe, nawe una magari ya vita na farasi, mji wenye ngome na silaha,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Mara tu barua hii itakapokufikia, kwa kuwa wana wa bwana wako wapo pamoja nawe, nawe una magari ya vita na farasi, mji wenye ngome na silaha,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Barua hii mara ikiwawasilia, kwa kuwa mna wana wa bwana wenu pamoja nanyi, tena kwenu kuna magari na farasi, na mji wenye boma, na silaha;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kwa kuwa mnao miongoni mwenu wana wa mfalme, kadhalika mnao farasi na magari, silaha na miji ya ngome,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kuwa mnao wana wa bwana wenu na magari na farasi na maboma na mata, basi, barua hii itakapofika, kwenu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Barua hii mara ikiwawasilia, kwa kuwa mna wana wa bwana wenu pamoja nanyi, tena kwenu kuna magari na farasi, na mji wenye boma, na silaha;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Kwa sababu kati yenu kuna wana wa mufalme, vilevile kuna farasi na magari, silaha na miji yenye kuta,