2 Kings 10:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yehu akaamuru: “Alika mkutano mkubwa wa ibada ya Baali!” Tangazo likatolewa,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yehu akasema, “Itisheni kusanyiko kwa heshima ya Baali.” Basi wakatangaza jambo hilo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yehu akasema, Takaseni kusanyiko la dini kwa Baali. Wakalitangaza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yehu akaamuru: “Alika mkutano mkubwa wa ibada ya Baali!” Tangazo likatolewa,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yehu akasema, “Itisheni kusanyiko kwa heshima ya Baali.” Basi wakatangaza jambo hilo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yehu akasema, “Itisheni kusanyiko kwa heshima ya Baali.” Basi wakatangaza jambo hilo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yehu akasema, Takaseni kusanyiko la dini kwa Baali. Wakalitangaza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yehu akaamuru: “Alika mkutano mkubwa wa ibada ya Baali!” Tangazo likatolewa,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Yehu akawaambia: Takaseni mkutano wa kumtambikia Baali! Walipoutangaza,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yehu akasema, Takaseni kusanyiko la dini kwa Baali. Wakalitangaza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yehu akaamuru: “Mutangaze mukutano wa ibada ya Bali!” Tangazo likatolewa,