2 Kings 10:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Halafu Yehu akaingia katika hekalu la Baali akifuatana na Yehonadabu na kuwaambia waliokuwa hekaluni, “Hakikisheni kwamba waliomo hekaluni ni wale wamwabuduo Baali tu, na kwamba hakuna mtu yeyote anayemwabudu Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Yehu na Yehonadabu mwana wa Rekabu wakaingia ndani ya hekalu la Baali. Yehu akawaambia watumishi wa Baali, “Tazameni kila mahali mhakikishe kwamba hakuna hata mtumishi mmoja wa Mwenyezi Mungu aliye hapa pamoja nanyi, ila ni watumishi wa Baali tu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaingia Yehu na Yehonadabu mwana wa Rekabu nyumbani mwa Baali, akawaambia waliomwabudu Baali, Tafuteni mkaangalie, asiwepo hapa pamoja nanyi mtu amtumikiaye Bwana, ila wamwabuduo Baali peke yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Halafu Yehu akaingia katika hekalu la Baali akifuatana na Yehonadabu na kuwaambia waliokuwa hekaluni, “Hakikisheni kwamba waliomo hekaluni ni wale wamwabuduo Baali tu, na kwamba hakuna mtu yeyote anayemwabudu Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Yehu na Yehonadabu mwana wa Rekabu wakaingia ndani ya hekalu la Baali. Yehu akawaambia watumishi wa Baali, “Tazameni kila mahali mhakikishe kwamba hakuna hata mtumishi mmoja wa BWANA aliye hapa pamoja nanyi, wawe ni watumishi wa Baali tu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Yehu na Yehonadabu mwana wa Rekabu wakaingia ndani ya hekalu la Baali. Yehu akawaambia watumishi wa Baali, “Tazameni kila mahali mhakikishe kwamba hakuna hata mtumishi mmoja wa bwana aliye hapa pamoja nanyi, ila ni watumishi wa Baali tu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaingia Yehu na Yehonadabu mwana wa Rekabu nyumbani mwa Baali, akawaambia waliomwabudu Baali, Tafuteni mkaangalie, asiwepo hapa pamoja nanyi mtu amtumikiaye BWANA, ila wamwabuduo Baali peke yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Halafu Yehu akaingia katika hekalu la Baali akifuatana na Yehonadabu na kuwaambia waliokuwa hekaluni, “Hakikisheni kwamba waliomo hekaluni ni wale wamwabuduo Baali tu, na kwamba hakuna mtu yeyote anayemwabudu Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yehu akaingia nyumbani mwa Baali pamoja na Yonadabu, mwana wa Rekabu, akawaambia wanaomtumikia Baali: Chunguzeni na kutazama, kusiweko huku kwenu na watumishi wa Bwana, ila wawe wao peke yao wanaomtumikia Baali!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaingia Yehu na Yehonadabu mwana wa Rekabu nyumbani mwa Baali, akawaambia waliomwabudu Baali, Tafuteni mkaangalie, asiwepo hapa pamoja nanyi mtu amtumikiaye BWANA, ila wamwabuduo Baali peke yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Yehu akaingia katika hekalu la Bali akifuatana na Yonadabu na kuwaambia waliokuwa ndani ya hekalu: “Muhakikishe kwamba wanaokuwa humu ndani ya hekalu ni wale wanaomwabudu Bali tu, na kwamba hakuna mutu yeyote anayemwabudu Yawe.”