2 Kings 10:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mara Yehu alipomaliza kutoa tambiko ya kuteketezwa, aliwaambia walinzi na maofisa, “Ingieni mkawaue wote. Msimwache hata mmoja atoroke!” Wakaingia na panga zao tayari na kuwaua wote, kisha wakatoa maiti zao nje. Ndipo wakaingia chumba cha ndani cha hekalu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mara baada ya Yehu kutoa sadaka ya kuteketezwa, akawaamuru walinzi na maafisa: “Ingieni ndani, waueni; asitoroke hata mmoja.” Basi wakawakatakata kwa upanga. Walinzi na maafisa wakazitupa zile maiti nje, kisha wakaingia mahali pa ndani pa ibada katika hekalu la Baali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa mara alipokwisha kutoa sadaka ya kuteketezwa, Yehu akawaambia walinzi na maakida, Ingieni mwapige; mtu awaye yote asitoke. Basi wakawapiga kwa makali ya upanga; walinzi na maakida wakawatupa nje, wakaenda mpaka mji wa nyumba ya Baali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mara Yehu alipomaliza kutoa tambiko ya kuteketezwa, aliwaambia walinzi na maofisa, “Ingieni mkawaue wote. Msimwache hata mmoja atoroke!” Wakaingia na panga zao tayari na kuwaua wote, kisha wakatoa maiti zao nje. Ndipo wakaingia chumba cha ndani cha hekalu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mara baada ya Yehu kutoa sadaka ya kuteketezwa akawaamuru walinzi na maafisa: “Ingieni ndani, waueni; asitoroke hata mmoja.” Basi wakawakatakata kwa upanga. Walinzi na maafisa wakazitupa zile maiti nje na kisha wakaingia mahali pa ndani pa kuabudia miungu katika hekalu la Baali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mara baada ya Yehu kutoa sadaka ya kuteketezwa, akawaamuru walinzi na maafisa: “Ingieni ndani, waueni; asitoroke hata mmoja.” Basi wakawakatakata kwa upanga. Walinzi na maafisa wakazitupa zile maiti nje, kisha wakaingia mahali pa ndani pa kuabudia miungu katika hekalu la Baali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa mara alipokwisha kutoa sadaka ya kuteketezwa, Yehu akawaambia walinzi na maofisa, Ingieni mwapige; mtu awaye yote asitoke. Basi wakawapiga kwa makali ya upanga; walinzi na maofisa wakawatupa nje, wakaenda mpaka mji wa nyumba ya Baali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mara Yehu alipomaliza kutoa tambiko ya kuteketezwa, aliwaambia walinzi na maofisa, “Ingieni mkawaue wote. Msimwache hata mmoja atoroke!” Wakaingia na panga zao tayari na kuwaua wote, kisha wakatoa maiti zao nje. Ndipo wakaingia chumba cha ndani cha hekalu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipokwisha kuzitoa ng'ombe za tambiko za kuteketezwa nzima, Yehu akawaambia wale wapiga mbio na wakuu wa askari thelathini: Ingieni, mwaue, mtu hata mmoja asipate kutoka! Ndipo, wale wapiga mbio na wakuu wa askari thelathini walipowaua kwa ukali wa panga, wakawatupa nje; kisha wakaingia mle ndani nyumbani mwa Baali,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa mara alipokwisha kutoa sadaka ya kuteketezwa, Yehu akawaambia walinzi na maakida, Ingieni mwapige; mtu awaye yote asitoke. Basi wakawapiga kwa makali ya upanga; walinzi na maakida wakawatupa nje, wakaenda mpaka mji wa nyumba ya Baali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mara tu Yehu alipomaliza kutoa sadaka ya kuteketezwa, aliwaambia walinzi na wakubwa: “Muingie muwaue wote. Musimwache hata mumoja atoroke!” Wakaingia na panga zao tayari na kuwaua wote, kisha wakatoa maiti zao inje. Halafu wakaingia katika chumba cha ndani cha hekalu,