2 Kings 10:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na kutoa nguzo takatifu na kuiteketeza kwa moto.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakaileta ile nguzo ya kuabudiwa nje ya hekalu la Baali, na wakaichoma moto.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakazitoa nguzo zilizokuwamo nyumbani mwa Baali, wakaziteketeza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na kutoa nguzo takatifu na kuiteketeza kwa moto.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakaileta ile nguzo ya kuabudiwa nje ya hekalu la Baali na wakaichoma moto.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakaileta ile nguzo ya kuabudiwa nje ya hekalu la Baali, na wakaichoma moto.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakazitoa nguzo zilizokuwamo nyumbani mwa Baali, wakaziteketeza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na kutoa nguzo takatifu na kuiteketeza kwa moto.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wakazitoa nguzo za kutambikia mle nyumbani mwa Baali, wakaziteketeza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakazitoa nguzo zilizokuwamo nyumbani mwa Baali, wakaziteketeza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na kutoa nguzo takatifu na kuiteketeza kwa moto.