2 Kings 10:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakaharibu nguzo pamoja na hekalu; wakaligeuza hekalu kuwa choo; na hivyo ndivyo ilivyo mpaka hivi leo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakabomoa ile nguzo ya kuabudiwa ya Baali pamoja na hekalu la Baali, nao watu wakapafanya kuwa choo hadi leo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakaibomoa nguzo ya Baali, na kuiangusha nyumba ya Baali, wakaifanya choo hata leo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakaharibu nguzo pamoja na hekalu; wakaligeuza hekalu kuwa choo; na hivyo ndivyo ilivyo mpaka hivi leo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakabomoa ile nguzo ya kuabudiwa ya Baali pamoja na hekalu la Baali, nao watu wakapafanya kuwa choo hadi leo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakabomoa ile nguzo ya kuabudiwa ya Baali pamoja na hekalu la Baali, nao watu wakapafanya kuwa choo hadi leo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakaibomoa nguzo ya Baali, na kuiangusha nyumba ya Baali, wakaifanya choo hata leo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakaharibu nguzo pamoja na hekalu; wakaligeuza hekalu kuwa choo; na hivyo ndivyo ilivyo mpaka hivi leo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wakaivunjavunja ile nguzo ya mawe ya kumtambikia Baali, nayo nyumba ya Baali wakaivunjavunja, wakaitumia kuwa mahali pa vyoo hata siku hii ya leo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakaibomoa nguzo ya Baali, na kuiangusha nyumba ya Baali, wakaifanya choo hata leo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakaharibu nguzo pamoja na hekalu; wakaigeuza hekalu kuwa choo, na hivi ndivyo inavyokuwa mpaka hivi leo.