2 Kings 10:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo ndivyo Yehu alivyofuta ibada za Baali katika Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo Yehu akaangamiza kuabudiwa kwa Baali katika Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndivyo Yehu alivyomharibu Baali katika Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo ndivyo Yehu alivyofuta ibada za Baali katika Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo Yehu akaangamiza kuabudiwa kwa Baali katika Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo Yehu akaangamiza kuabudiwa kwa Baali katika Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndivyo Yehu alivyomharibu Baali katika Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo ndivyo Yehu alivyofuta ibada za Baali katika Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, Yehu alivyoyakomesha matambiko ya Baali kwao Waisiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndivyo Yehu alivyomharibu Baali katika Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivi ndivyo Yehu alivyomaliza ibada za Bali katika Israeli.