2 Kings 10:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini alifuata dhambi ya Yeroboamu mwana wa Nebati ya kuwaongoza Waisraeli watende dhambi. Aliweka sanamu za ndama wa dhahabu huko Betheli na Dani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata hivyo, Yehu hakuziacha dhambi za Yeroboamu mwana wa Nebati, ambazo alikuwa amesababisha Israeli kuzitenda, yaani kuabudu ndama za dhahabu huko Betheli ya Dani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walakini katika makosa yake Yeroboamu mwana wa Nebati, ambayo kwa hayo aliwakosesha Israeli, Yehu hakutoka katika kuyafuata, yaani, ndama za dhahabu zilizokuwako katika Betheli na Dani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini alifuata dhambi ya Yeroboamu mwana wa Nebati ya kuwaongoza Waisraeli watende dhambi. Aliweka sanamu za ndama wa dhahabu huko Betheli na Dani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata hivyo, hakuziacha dhambi za Yeroboamu mwana wa Nebati, ambazo alikuwa amesababisha Israeli kuzitenda, yaani, kuabudu ndama za dhahabu huko Betheli ya Dani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata hivyo, Yehu hakuziacha dhambi za Yeroboamu mwana wa Nebati, ambazo alikuwa amesababisha Israeli kuzitenda, yaani kuabudu ndama za dhahabu huko Betheli ya Dani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Walakini katika makosa yake Yeroboamu mwana wa Nebati, ambayo kwa hayo aliwakosesha Israeli, Yehu hakutoka katika kuyafuata, yaani, ndama za dhahabu zilizokuwako katika Betheli na Dani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini alifuata dhambi ya Yeroboamu mwana wa Nebati ya kuwaongoza Waisraeli watende dhambi. Aliweka sanamu za ndama wa dhahabu huko Betheli na Dani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini makosa ya Yeroboamu, mwana wa Nebati, aliyewakosesha Waisiraeli, Yehu hakuacha kuyafuata akizitambikia ndama za dhahabu zilizowekwa Beteli na Dani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walakini katika makosa yake Yeroboamu mwana wa Nebati, ambayo kwa hayo aliwakosesha Israeli, Yehu hakutoka katika kuyafuata, yaani, ndama za dhahabu zilizokuwako katika Betheli na Dani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini hakuacha zambi zile za Yeroboamu mwana wa Nebati ambaye aliwasukuma Waisraeli watende zambi, ni kusema ile ibada ya sanamu za wana-ngombe wa zahabu kule Beteli na Dani.