2 Kings 10:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mchagueni na kumtawaza mwenye uwezo zaidi kati ya wana wa mfalme; halafu mpige vita kwa ajili ya ukoo wa mfalme.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
mchague mwenye uwezo zaidi kati ya wana wa bwana wako, na umweke kwenye kiti cha utawala cha baba yake. Kisha upigane kwa ajili ya nyumba ya bwana wako.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
basi mtazameni yeye aliye mwema na hodari miongoni mwa wana wa bwana wenu, mkamweke kitini mwa babaye, mkaipiganie nyumba ya bwana wenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mchagueni na kumtawaza mwenye uwezo zaidi kati ya wana wa mfalme; halafu mpige vita kwa ajili ya ukoo wa mfalme.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
mchague mwenye uwezo zaidi kati ya wana wa bwana wako na umweke juu ya kiti cha enzi cha baba yake. Kisha upigane kwa ajili ya nyumba ya bwana wako.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
mchague mwenye uwezo zaidi kati ya wana wa bwana wako, na umweke juu ya kiti cha enzi cha baba yake. Kisha upigane kwa ajili ya nyumba ya bwana wako.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
basi mtazameni yeye aliye mwema na hodari miongoni mwa wana wa bwana wenu, mkamweke kitini mwa babaye, mkaipiganie nyumba ya bwana wenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mchagueni na kumtawaza mwenye uwezo zaidi kati ya wana wa mfalme; halafu mpige vita kwa ajili ya ukoo wa mfalme.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
mtazameni aliye mwema mwenye unyofu katika wana wa bwana wenu, mkalisheni katika kiti cha kifalme cha baba yake, kisha mwupigie vita mlango wa bwana wenu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
basi mtazameni yeye aliye mwema na hodari miongoni mwa wana wa bwana wenu, mkamweke kitini mwa babaye, mkaipiganie nyumba ya bwana wenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
muchague na kumuweka mwenye uwezo zaidi kati ya wana wa mufalme kuwa mufalme. Halafu mupigane vita kwa ajili ya ukoo wa mufalme.”