2 Kings 10:32 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati huo Mwenyezi-Mungu alianza kupunguza eneo la nchi ya Israeli. Mfalme Hazaeli wa Aramu akashinda nchi yote ya Israeli,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika siku hizo, Mwenyezi Mungu akaanza kupunguza ukubwa wa Israeli. Hazaeli akawashinda Waisraeli sehemu zote za nchi yao
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siku zile Bwana akaanza kupunguza Israeli. Hazaeli akawapiga mipakani mwote mwa Israeli;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati huo Mwenyezi-Mungu alianza kupunguza eneo la nchi ya Israeli. Mfalme Hazaeli wa Aramu akashinda nchi yote ya Israeli,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika siku hizo, BWANA akaanza kupunguza ukubwa wa Israeli. Hazaeli akawashinda Waisraeli sehemu zote za nchi yao
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika siku hizo, bwana akaanza kupunguza ukubwa wa Israeli. Hazaeli akawashinda Waisraeli sehemu zote za nchi yao
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siku zile BWANA akaanza kupunguza Israeli. Hazaeli akawapiga kote mipakani mwa Israeli;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati huo Mwenyezi-Mungu alianza kupunguza eneo la nchi ya Israeli. Mfalme Hazaeli wa Aramu akashinda nchi yote ya Israeli,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku hizo Bwana akaanza kuikatakata nchi ya Waisiraeli, Hazaeli akawapiga Waisiraeli po pote penye mipaka,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siku zile BWANA akaanza kupunguza Israeli. Hazaeli akawapiga mipakani mwote mwa Israeli;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati ule Yawe alianza kupunguza eneo la inchi ya Israeli. Mufalme Hazaeli wa Aramu akashinda inchi yote ya Israeli