2 Kings 10:33 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kutoka upande wa mashariki ya mto Yordani, na nchi za Gileadi, Gadi, Reubeni na Manase na kutoka Aroeri ulioko kwenye bonde la Arnoni, kwenye nchi za Gileadi na Bashani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
mashariki mwa Yordani, katika nchi yote ya Gileadi (eneo la Gadi, Reubeni na Manase), kutoka Aroeri karibu na Bonde la Arnoni kupitia Gileadi hadi Bashani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kutoka Yordani upande wa mashariki, nchi yote ya Gileadi, na ya Wagadi, na Wareubeni, na Wamanase, kutoka Aroeri iliopo karibu na bonde la Arnoni, yaani, Gileadi, na Bashani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kutoka upande wa mashariki ya mto Yordani, na nchi za Gileadi, Gadi, Reubeni na Manase na kutoka Aroeri ulioko kwenye bonde la Arnoni, kwenye nchi za Gileadi na Bashani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
mashariki ya Yordani katika nchi yote ya Gileadi (eneo la Gadi, Reubeni na Manase), kutoka Aroeri karibu na Bonde la Arnoni kupitia Gileadi hadi Bashani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
mashariki ya Yordani, katika nchi yote ya Gileadi (eneo la Gadi, Reubeni na Manase), kutoka Aroeri karibu na Bonde la Arnoni kupitia Gileadi hadi Bashani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kutoka Yordani upande wa mashariki, nchi yote ya Gileadi, na ya Wagadi, na Wareubeni, na Wamanase, kutoka Aroeri iliopo karibu na bonde la Arnoni, yaani, Gileadi, na Bashani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kutoka upande wa mashariki ya mto Yordani, na nchi za Gileadi, Gadi, Reubeni na Manase na kutoka Aroeri ulioko kwenye bonde la Arnoni, kwenye nchi za Gileadi na Bashani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akaichukua nchi yote ya Gileadi iliyoko ng'ambo ya Yordani upande wa maawioni kwa jua, ndiyo nchi ya Gadi na ya Rubeni na ya Manase kutoka Aroeri ulioko kwenye mto wa Arnoni, hata Gileadi na Basani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kutoka Yordani upande wa mashariki, nchi yote ya Gileadi, na ya Wagadi, na Wareubeni, na Wamanase, kutoka Aroeri iliopo karibu na bonde la Arnoni, yaani, Gileadi, na Bashani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
katika upande wa mashariki ya muto Yordani, na inchi za Gileadi, Gadi, Rubeni na Manase na kutoka muji wa Aroeri unaokuwa kwenye bonde la Arnoni, kwenye inchi za Gileadi na Basani.