2 Kings 10:35 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akafariki na kuzikwa Samaria. Mwanae Yehoahazi akatawala mahali pake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yehu akalala na baba zake, akazikwa huko Samaria. Naye Yehoahazi mwanawe akawa mfalme baada yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yehu akalala na babaze; wakamzika katika Samaria. Na Yehoahazi mwanawe akatawala mahali pake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akafariki na kuzikwa Samaria. Mwanae Yehoahazi akatawala mahali pake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yehu akalala pamoja na baba zake naye akazikwa huko Samaria. Naye Yehoahazi mwanawe akaingia mahali pake kuwa mfalme badala yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yehu akalala pamoja na baba zake, naye akazikwa huko Samaria. Naye Yehoahazi mwanawe akawa mfalme baada yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yehu akalala na babaze; wakamzika katika Samaria. Na Yehoahazi mwanawe akatawala mahali pake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akafariki na kuzikwa Samaria. Mwanae Yehoahazi akatawala mahali pake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yehu alipokuja kulala na baba zake, wakamzika Samaria, naye mwanawe Yoahazi akawa mfalme mahali pake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yehu akalala na babaze; wakamzika katika Samaria. Na Yehoahazi mwanawe akatawala mahali pake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akakufa na kuzikwa Samaria. Mwana wake Yoahazi akatawala kwa pahali pake.