2 Kings 10:36 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yehu alitawala Israeli akiwa Samaria kwa miaka ishirini na minane.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Muda Yehu aliotawala Israeli huko Samaria ulikuwa miaka ishirini na nane.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na muda Yehu aliotawala juu ya Israeli katika Samaria ulikuwa miaka ishirini na minane.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yehu alitawala Israeli akiwa Samaria kwa miaka ishirini na minane.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Muda Yehu aliotawala juu ya Israeli huko Samaria ilikuwa miaka ishirini na minane.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Muda Yehu aliotawala juu ya Israeli huko Samaria ilikuwa miaka ishirini na minane.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na muda Yehu aliotawala juu ya Israeli katika Samaria ulikuwa miaka ishirini na minane.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yehu alitawala Israeli akiwa Samaria kwa miaka ishirini na minane.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nazo siku, Yehu alizokuwa mfalme wa Waisiraeli kule Samaria, ni miaka 28.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na muda Yehu aliotawala juu ya Israeli katika Samaria ulikuwa miaka ishirini na minane.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yehu alitawala Israeli akiwa Samaria kwa miaka makumi mbili na minane.