2 Kings 11:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mara Athalia, mamake mfalme Ahazia, alipoona kuwa mwanawe ameuawa, alitoka, akaangamiza jamii yote ya kifalme.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Athalia mamaye Ahazia alipoona kuwa mwanawe amekufa, akainuka na kuangamiza jamaa yote ya mfalme.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Athalia, mama yake Ahazia, alipoona ya kuwa mwanawe amekufa, akainuka, akawaharibu wazao wote wa kifalme.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mara Athalia, mamake mfalme Ahazia, alipoona kuwa mwanawe ameuawa, alitoka, akaangamiza jamii yote ya kifalme.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati Athalia mamaye Ahazia alipoona kwamba mwanawe amekufa, akainuka na kuiangamiza jamaa yote ya kifalme.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati Athalia mamaye Ahazia alipoona kuwa mwanawe amekufa, akainuka na kuiangamiza jamaa yote ya mfalme.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Athalia, mama yake Ahazia, alipoona ya kuwa mwanawe amekufa, akainuka, akawaharibu wazao wote wa kifalme.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mara Athalia, mamake mfalme Ahazia, alipoona kuwa mwanawe ameuawa, alitoka, akaangamiza jamii yote ya kifalme.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Atalia, mamake Ahazia, alipoona, ya kuwa mwanawe amekufa, akaondoka, akawaangamiza wazao wote wa kifalme.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Athalia, mama yake Ahazia, alipoona ya kuwa mwanawe amekufa, akainuka, akawaharibu wazao wote wa kifalme.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mara tu Atalia mama ya mufalme Ahazia alipoona kwamba mwana wake ameuawa, alitoka, akaangamiza watu wote wa jamaa ya kifalme.