2 Kings 11:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, wakamkamata, wakampeleka na kumpitisha kwenye Lango la Farasi kuelekea ikulu, naye akauawa huko.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi wakamkamata Athalia alipofika mahali farasi huingilia katika viwanja vya jumba la mfalme, wakamuua hapo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi wakampisha njia; akaenda kwa njia ya kuingia kwa farasi nyumbani mwa mfalme; akauawa huko.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, wakamkamata, wakampeleka na kumpitisha kwenye Lango la Farasi kuelekea ikulu, naye akauawa huko.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi wakamkamata Athalia na alipofika mahali ambapo farasi huingilia katika viwanja vya jumba la mfalme, wakamwulia hapo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi wakamkamata Athalia, na alipofika mahali ambapo farasi huingilia katika viwanja vya jumba la mfalme, wakamuulia hapo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi wakampisha njia; akaenda kwa njia ya kuingia kwa farasi nyumbani mwa mfalme; akauawa huko.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, wakamkamata, wakampeleka na kumpitisha kwenye Lango la Farasi kuelekea ikulu, naye akauawa huko.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakamkamata kwa mikono, naye alipofika penye njia, farasi waliyoishika ya kuingia nyumbani mwa mfalme, akauawa hapo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi wakampisha njia; akaenda kwa njia ya kuingia kwa farasi nyumbani mwa mfalme; akauawa huko.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, wakamukamata, wakamupeleka na kumupitisha kwenye Mulango wa Farasi kuelekea nyumba ya kifalme, naye akauawa kule.