2 Kings 11:21 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yoashi alianza kutawala Yuda akiwa na umri wa miaka saba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yoashi alikuwa na umri wa miaka saba alipoanza kutawala.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yoashi
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yoashi alianza kutawala Yuda akiwa na umri wa miaka saba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yoashi alikuwa na umri wa miaka saba wakati alipoanza kutawala.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yoashi alikuwa na umri wa miaka saba alipoanza kutawala.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yoashi alikuwa na umri wa miaka saba alipoanza kutawala.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yoashi alianza kutawala Yuda akiwa na umri wa miaka saba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Yoasi alikuwa mwenye miaka saba alipoupata ufalme.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yoashi alikuwa na umri wa miaka saba alipoanza kutawala.