2 Kings 11:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yoashi alikaa naye kwa muda wa miaka sita akiwa amefichwa ndani ya nyumba ya Mwenyezi-Mungu, wakati Athalia alipokuwa akitawala nchi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alibaki amefichwa pamoja na yaya wake katika Hekalu la Mwenyezi Mungu kwa muda wa miaka sita wakati Athalia alikuwa akitawala nchi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Alikuwako pamoja naye, amefichwa nyumbani mwa Bwana, miaka sita. Naye Athalia akaitawala nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yoashi alikaa naye kwa muda wa miaka sita akiwa amefichwa ndani ya nyumba ya Mwenyezi-Mungu, wakati Athalia alipokuwa akitawala nchi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alibaki amefichwa pamoja na yaya wake kwenye Hekalu la BWANA kwa miaka sita wakati Athalia alipokuwa akitawala nchi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alibaki amefichwa pamoja na yaya wake katika Hekalu la bwana kwa muda wa miaka sita wakati Athalia alikuwa akitawala nchi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Alikuwako pamoja naye, amefichwa nyumbani mwa BWANA, miaka sita. Naye Athalia akaitawala nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yoashi alikaa naye kwa muda wa miaka sita akiwa amefichwa ndani ya nyumba ya Mwenyezi-Mungu, wakati Athalia alipokuwa akitawala nchi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akakaa naye na kufichwa Nyumbani mwa Bwana miaka sita, Atalia alipokuwa mfalme wa kike wa nchi hiyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Alikuwako pamoja naye, amefichwa nyumbani mwa BWANA, miaka sita. Naye Athalia akaitawala nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yoasi alikaa naye kwa muda wa miaka sita akiwa amefichwa ndani ya nyumba ya Yawe, wakati Atalia alipokuwa akitawala katika inchi.