2 Kings 11:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
theluthi nyingine ikiwa kwenye lango la Suri na theluthi nyingine ikiwa kwenye lango nyuma ya walinzi. Hivyo ndivyo mtakavyolinda ikulu ili isivunjwe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
theluthi nyingine Lango la Suri, na theluthi nyingine lango lililo nyuma ya walinzi, ambao hupeana zamu kulinda Hekalu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na theluthi mtakuwapo mlangoni pa Suri; na theluthi langoni nyuma ya walinzi; hivyo mtayalinda malinzi ya nyumba, kuzuia watu wasiingie.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
theluthi nyingine ikiwa kwenye lango la Suri na theluthi nyingine ikiwa kwenye lango nyuma ya walinzi. Hivyo ndivyo mtakavyolinda ikulu ili isivunjwe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
theluthi nyingine italinda Lango la Suri, na theluthi nyingine italinda lango lililo nyuma ya walinzi, ambao hupeana zamu kulinda Hekalu;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
theluthi nyingine Lango la Suri, na theluthi nyingine lango lililo nyuma ya walinzi, ambao hupeana zamu kulinda Hekalu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na theluthi mtakuwapo mlangoni pa Suri; na theluthi langoni nyuma ya walinzi; hivyo ndivyo mtalinda nyumba ya mfalme, kuzuia watu wasiingie.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
theluthi nyingine ikiwa kwenye lango la Suri na theluthi nyingine ikiwa kwenye lango nyuma ya walinzi. Hivyo ndivyo mtakavyolinda ikulu ili isivunjwe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
fungu jingine la tatu na walinde penye lango la Suri, nalo fungu jingine la tatu na walinde langoni nyuma ya wapiga mbio! Ndivyo, mtakavyolinda ulinzi wa hiyo nyumba na kuzuia watu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na theluthi mtakuwapo mlangoni pa Suri; na theluthi langoni nyuma ya walinzi; hivyo mtayalinda malinzi ya nyumba, kuzuia watu wasiingie.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
sehemu ingine moja ya tatu itakuwa kwenye mulango wa Suri na sehemu ingine itakuwa kwenye mulango nyuma ya walinzi. Hivi ndivyo mutakavyolinda nyumba ya kifalme kusudi isivunjwe.