2 Kings 11:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yale makundi mawili ambayo humaliza zamu yao siku ya Sabato yatashika zamu katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu kumlinda mfalme.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nanyi ambao mko katika makundi mengine mawili ambao kwa kawaida hupumzika siku ya Sabato, wote mtalinda Hekalu kwa ajili ya mfalme.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na sehemu mbili zenu, yaani, wote watokao siku ya sabato, mtayalinda malinzi ya nyumba ya Bwana kumzunguka mfalme.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yale makundi mawili ambayo humaliza zamu yao siku ya Sabato yatashika zamu katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu kumlinda mfalme.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nanyi ambao mko katika makundi mengine mawili ambao kwa kawaida hupumzika Sabato, wote mtalinda Hekalu kwa ajili ya mfalme.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nanyi ambao mko katika makundi mengine mawili ambao kwa kawaida hupumzika Sabato, wote mtalinda Hekalu kwa ajili ya mfalme.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na sehemu mbili zenu, yaani, wote watokao siku ya sabato, mtashika zamu za ulinzi katika nyumba ya BWANA kumzunguka mfalme.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yale makundi mawili ambayo humaliza zamu yao siku ya Sabato yatashika zamu katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu kumlinda mfalme.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Navyo vikosi vyenu viwili watakaotoka kazini siku ya mapumziko, wote sharti walinde ulinzi wa Nyumba ya Bwana kwake mfalme!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na sehemu mbili zenu, yaani, wote watokao siku ya sabato, mtayalinda malinzi ya nyumba ya BWANA kumzunguka mfalme.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yale makundi mawili ambayo yanamaliza zamu yao siku ya Sabato yatashika zamu katika nyumba ya Yawe kwa kumulinda mufalme.