2 Kings 12:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Zote zilitumiwa kwa kuwalipa wafanyakazi waliozitumia kufanya marekebisho ya nyumba ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
zililipwa kwa wafanyakazi, ambao walizitumia kwa kukarabati Hekalu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kwa sababu hiyo fedha waliwapa watenda kazi, wakaitengeneza kwayo nyumba ya Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Zote zilitumiwa kwa kuwalipa wafanyakazi waliozitumia kufanya marekebisho ya nyumba ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
zililipwa kwa wafanyakazi, ambao walizitumia kwa kukarabati Hekalu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
zililipwa kwa wafanyakazi, ambao walizitumia kwa kukarabati Hekalu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kwa sababu hiyo fedha waliwapa watenda kazi, wakaitengeneza kwayo nyumba ya BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Zote zilitumiwa kwa kuwalipa wafanyakazi waliozitumia kufanya marekebisho ya nyumba ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani waliozipata ni wale tu waliofanya kazi za kuitengeneza Nyumba ya Bwana,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kwa sababu hiyo fedha waliwapa watenda kazi, wakaitengeneza kwayo nyumba ya BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini feza zake hazikutumiwa kwa kulipa kazi za kutengeneza mabeseni ya feza, makasi ya kukata tambi za mishumaa, mabakuli, baragumu, wala kwa vyombo vingine vyovyote vya zahabu au vya feza.