2 Kings 12:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wafanyakazi waliosimamia kazi hii walikuwa waaminifu kabisa, kwa hiyo hapakuwa na haja ya kuwataka watoe hesabu ya matumizi ya fedha hizo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wao hawakudai hesabu ya fedha kutoka kwa wale waliowapa ili kuwalipa wafanyakazi, kwa sababu walifanya kwa uaminifu wote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walakini hawakufanya hesabu na hao watu, waliokabidhiwa fedha hiyo ili wawape watenda kazi; kwa kuwa walitenda kwa uaminifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wafanyakazi waliosimamia kazi hii walikuwa waaminifu kabisa, kwa hiyo hapakuwa na haja ya kuwataka watoe hesabu ya matumizi ya fedha hizo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wao hawakudai kupewa hesabu ya fedha kutoka kwa wale waliowapa ili kuwalipa wafanyakazi, kwa sababu walifanya kwa uaminifu wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wao hawakudai kupewa hesabu ya fedha kutoka kwa wale waliowapa ili kuwalipa wafanyakazi, kwa sababu walifanya kwa uaminifu wote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Walakini hawakufanya hesabu na hao watu, waliokabidhiwa fedha hiyo ili wawape watenda kazi; kwa kuwa walitenda kwa uaminifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wafanyakazi waliosimamia kazi hii walikuwa waaminifu kabisa, kwa hiyo hapakuwa na haja ya kuwataka watoe hesabu ya matumizi ya fedha hizo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao hao, waliowapa hizo fedha mikononi mwao, wawalipe wafanya kazi, hawakuzihesabu nao, kwani walifanya kazi zao kwa welekevu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walakini hawakufanya hesabu na hao watu, waliokabidhiwa fedha hiyo ili wawape watenda kazi; kwa kuwa walitenda kwa uaminifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zote zilitumiwa kwa kuwalipa wafanyakazi waliozitumia kwa kutengeneza nyumba ya Yawe.