2 Kings 12:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Fedha zilizotolewa kuwa sadaka za hatia na sadaka za kuondoa dhambi hazikuingizwa katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu; hizo zilikuwa ni mali ya makuhani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Fedha zilizopatikana kutokana na sadaka za hatia na sadaka za dhambi hazikuletwa katika Hekalu la Mwenyezi Mungu; zilikuwa mali ya makuhani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini fedha ya matoleo ya kosa, na fedha ya matoleo ya dhambi, haikuletwa nyumbani mwa Bwana; hiyo ilikuwa ya makuhani wenyewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Fedha zilizotolewa kuwa sadaka za hatia na sadaka za kuondoa dhambi hazikuingizwa katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu; hizo zilikuwa ni mali ya makuhani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Fedha zilizopatikana kutokana na sadaka za hatia na sadaka za dhambi hazikuletwa katika Hekalu la BWANA; zilikuwa mali ya makuhani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Fedha zilizopatikana kutokana na sadaka za hatia na sadaka za dhambi hazikuletwa katika Hekalu la bwana; zilikuwa mali ya makuhani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini fedha ya matoleo ya kosa, na fedha ya matoleo ya dhambi, haikuletwa nyumbani mwa BWANA; hiyo ilikuwa ya makuhani wenyewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Fedha zilizotolewa kuwa sadaka za hatia na sadaka za kuondoa dhambi hazikuingizwa katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu; hizo zilikuwa ni mali ya makuhani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Fedha za tambiko la weuo nazo fedha za tambiko la upozi hazikupelekwa Nyumbani mwa Bwana, zilikuwa mali za watambikaji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini fedha ya matoleo ya kosa, na fedha ya matoleo ya dhambi, haikuletwa nyumbani mwa BWANA; hiyo ilikuwa ya makuhani wenyewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wafanyakazi waliosimamia kazi hii walikuwa waaminifu kabisa. Kwa hiyo hakukuwa lazima ya kuwaomba watoe hesabu ya matumizi ya feza.