2 Kings 12:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Matendo mengine yote ya mfalme Yoashi yameandikwa katika Kitabu cha Mambo ya Nyakati za Wafalme wa Yuda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuhusu matukio mengine ya utawala wa Yoashi na yote aliyoyafanya, je, hayakuandikwa katika kitabu cha kumbukumbu za wafalme wa Yuda?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi mambo yote ya Yoashi yaliyosalia, na yote aliyoyafanya, je! Hayakuandikwa katika kitabu-cha-tarehe cha wafalme wa Yuda?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Matendo mengine yote ya mfalme Yoashi yameandikwa katika Kitabu cha Mambo ya Nyakati za Wafalme wa Yuda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa matukio mengine ya utawala wa Yoashi na yote aliyoyafanya, je, hayakuandikwa katika kitabu cha kumbukumbu cha wafalme wa Yuda?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa matukio mengine ya utawala wa Yoashi na yote aliyoyafanya, je, hayakuandikwa katika kitabu cha kumbukumbu za wafalme wa Yuda?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi mambo yote ya Yoashi yaliyosalia, na yote aliyoyafanya, je! Hayakuandikwa katika Kitabu cha Kumbukumbu za Wafalme wa Yuda?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Matendo mengine yote ya mfalme Yoashi yameandikwa katika Kitabu cha Mambo ya Nyakati za Wafalme wa Yuda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mambo mengine ya Yoasi, nayo yote aliyoyafanya, hayakuandikwa katika kitabu cha mambo ya siku za wafalme wa Wayuda?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi mambo yote ya Yoashi yaliyosalia, na yote aliyoyafanya, je! Hayakuandikwa katika kitabu-cha-tarehe cha wafalme wa Yuda?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yoasi mufalme wa Yuda alitwaa sadaka zote zilizotakaswa na babu zake wafalme wa Yuda: Yosafati, Yehoramu na Ahazia, na kuongeza zile zake, pamoja na zahabu yote iliyokuwa katika hazina ya nyumba ya Yawe na katika nyumba ya kifalme, akazituma kwa Hazaeli mufalme wa Aramu. Naye Hazaeli akatoka Yerusalema.