2 Kings 12:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati wa maisha yake yote alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu, kwa sababu kuhani Yehoyada alikuwa akimfundisha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yoashi akafanya yaliyo mema machoni pa Mwenyezi Mungu miaka yote ambayo Yehoyada kuhani alikuwa akimwelekeza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yoashi akafanya yaliyo mema machoni pa Bwana siku zake zote Yehoyada kuhani alizomfundisha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati wa maisha yake yote alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu, kwa sababu kuhani Yehoyada alikuwa akimfundisha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yoashi akafanya yaliyo mema machoni pa Mungu miaka yote ambayo Yehoyada kuhani alikuwa akimwelekeza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yoashi akafanya yaliyo mema machoni pa bwana miaka yote ambayo Yehoyada kuhani alikuwa akimwelekeza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yoashi akafanya yaliyo mema machoni pa BWANA siku zake zote Yehoyada kuhani alizomfundisha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati wa maisha yake yote alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu, kwa sababu kuhani Yehoyada alikuwa akimfundisha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yoasi akayafanya yanyokayo machoni pake Bwana siku zake zote, mtambikaji Yoyada alizomfundisha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yoashi akafanya yaliyo mema machoni pa BWANA siku zake zote Yehoyada kuhani alizomfundisha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika mwaka wa saba wa utawala ya mufalme Yehu wa Israeli, Yoasi alianza kutawala Yuda kule Yerusalema, naye akatawala kwa muda wa miaka makumi ine akiwa kule Yerusalema. Mama yake aliitwa Sibia wa Beri-Seba.