2 Kings 12:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maofisa wake walikula njama dhidi yake, wakamuulia katika nyumba ya Milo kwenye barabara inayoelekea Sila.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Maafisa wake wakapanga njama dhidi yake, nao wakamuua Yoashi huko Beth-Milo, kwenye barabara inayoteremka kuelekea Sila.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao watumishi wake wakaondoka, wakafanya fitina, wakamwua Yoashi katika nyumba ya Milo, hapo panaposhukia Sila.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maofisa wake walikula njama dhidi yake, wakamuulia katika nyumba ya Milo kwenye barabara inayoelekea Sila.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maafisa wake wakafanya shauri baya dhidi yake, nao wakamwua huko Beth-Milo, kwenye barabara itelemkayo kuelekea Sila.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Maafisa wake wakafanya shauri baya dhidi yake, nao wakamuulia Yoashi huko Beth-Milo, kwenye barabara iteremkayo kuelekea Sila.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao watumishi wake wakaondoka, wakala njama, wakamwua Yoashi katika nyumba ya Milo, hapo panaposhukia Sila.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maofisa wake walikula njama dhidi yake, wakamuulia katika nyumba ya Milo kwenye barabara inayoelekea Sila.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watumishi wake wakamwinukia na kumlia njama, kisha wakamwua Yoasi katika boma la Milo panapotelemkia silo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao watumishi wake wakaondoka, wakafanya fitina, wakamwua Yoashi katika nyumba ya Milo, hapo panaposhukia Sila.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mambo mengine ya Yoasi na yote aliyofanya yameandikwa katika Kitabu cha Mambo ya Siku za Wafalme wa Yuda.