2 Kings 12:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
makuhani wazipokee kutoka kwa kila mtu; nao warekebishe nyumba popote panapohitajika marekebisho.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kila kuhani na apokee fedha kutoka kwa mmoja wa watunza hazina, nazo zitumike kukarabati uharibifu wowote unaoonekana katika Hekalu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
makuhani na waitwae, kila mtu kwa hao awajuao; nao watatengeneza palipobomoka nyumbani, kila mahali palipoonekana pamebomoka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
makuhani wazipokee kutoka kwa kila mtu; nao warekebishe nyumba popote panapohitajika marekebisho.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kila kuhani na apokee fedha kutoka kwa mmoja wa watunza hazina, nazo zitumike kukarabati uharibifu wo wote unaoonekana katika Hekalu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kila kuhani na apokee fedha kutoka kwa mmoja wa watunza hazina, nazo zitumike kukarabati uharibifu wowote unaoonekana katika Hekalu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
makuhani na waitwae, kila mtu kwa hao awajuao; nao watatengeneza palipobomoka nyumbani, kila mahali palipoonekana pamebomoka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
makuhani wazipokee kutoka kwa kila mtu; nao warekebishe nyumba popote panapohitajika marekebisho.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
watambikaji na wajitwalie kila mtu kwao, anaojuana nao. Kisha wao wenyewe wapatengeneze, Nyumba ilipobomoka, po pote panapoonekana palipobomoka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
makuhani na waitwae, kila mtu kwa hao awajuao; nao watatengeneza palipobomoka nyumbani, kila mahali palipoonekana pamebomoka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yoasi akaita makuhani na kuwaamuru, akisema: “Kila kuhani apokee feza yote inayotolewa katika nyumba ya Yawe: ni kusema malipo ya kodi za hekalu na matoleo ya mapenzi. Azipokee kutoka kwa yeyote anayemufahamu kwa kutengeneza nyumba popote panapohitajika.”