2 Kings 12:6 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini hata baada ya miaka ishirini na mitatu ya mfalme Yoashi makuhani walikuwa bado hawajafanya marekebisho yoyote ya nyumba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini ikawa kufikia mwaka wa ishirini na tatu wa utawala wake Mfalme Yoashi, makuhani walikuwa bado hawajalikarabati Hekalu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini ikawa, mwaka wa ishirini na tatu wa mfalme Yoashi, makuhani walikuwa hawajatengeneza mabomoko ya nyumba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini hata baada ya miaka ishirini na mitatu ya mfalme Yoashi makuhani walikuwa bado hawajafanya marekebisho yoyote ya nyumba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini ikawa kufikia mwaka wa ishirini na tatu wa utawala wake Mfalme Yoashi, makuhani walikuwa bado hawajalikarabati Hekalu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini ikawa kufikia mwaka wa ishirini na tatu wa utawala wake Mfalme Yoashi, makuhani walikuwa bado hawajalikarabati Hekalu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini ikawa, mwaka wa ishirini na tatu wa mfalme Yoashi, makuhani walikuwa hawajafanya matengenezo ya nyumba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini hata baada ya miaka ishirini na mitatu ya mfalme Yoashi makuhani walikuwa bado hawajafanya marekebisho yoyote ya nyumba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini katika mwaka wa 23 wa mfalme Yoasi watambikaji walikuwa hawajapatengeneza bado, Nyumba ilipobomoka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)