2 Kings 12:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Makuhani wakakubali wasipokee fedha tena kutoka kwa watu na pia wakaahidi kutofanya marekebisho ya nyumba ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Makuhani wakakubali kuwa hawatakusanya tena fedha kutoka kwa watu na kwamba hawatakarabati Hekalu wenyewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao makuhani wakakubali kwamba wasipokee fedha kwa watu, wala wasitengeneze mabomoko ya nyumba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Makuhani wakakubali wasipokee fedha tena kutoka kwa watu na pia wakaahidi kutofanya marekebisho ya nyumba ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Makuhani wakakubali kuwa hawatakusanya tena fedha kutoka kwa watu na kwamba hawatakarabati Hekalu wenyewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Makuhani wakakubali kuwa hawatakusanya tena fedha kutoka kwa watu na kwamba hawatakarabati Hekalu wenyewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao makuhani wakakubali kwamba wasipokee fedha kwa watu, wala wasitengeneze mabomoko ya nyumba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Makuhani wakakubali wasipokee fedha tena kutoka kwa watu na pia wakaahidi kutofanya marekebisho ya nyumba ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watambikaji wakaitikia, wasijitwalie tena fedha kwa watu, wala wasipatengeneze wao, Nyumba ilipobomoka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao makuhani wakakubali kwamba wasipokee fedha kwa watu, wala wasitengeneze mabomoko ya nyumba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo mufalme Yoasi alimwita kuhani Yehoyada na makuhani wengine na kuwauliza: “Mbona hamujatengeneza nyumba? Basi, sasa hamutapokea tena feza kutoka kwa wengine lakini zitaletwa kusudi nyumba itengenezwe.”