2 Kings 13:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Matendo mengine yote ya Yehoashi, ushujaa wake na vita alivyopigana na mfalme Amazia wa Yuda, yameandikwa katika Kitabu cha Mambo ya Nyakati za Wafalme wa Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Na kuhusu matukio mengine ya utawala wa Yehoashi, yote aliyoyafanya na mafanikio yake, pamoja na vita vyake dhidi ya Amazia mfalme wa Yuda, je, hayakuandikwa katika kitabu cha kumbukumbu za wafalme wa Israeli?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi mambo yote ya Yehoashi yaliyosalia, na yote aliyoyafanya, na ushujaa wake aliopigania na Amazia mfalme wa Yuda, je! Hayakuandikwa katika kitabu-cha-tarehe cha wafalme wa Israeli?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Matendo mengine yote ya Yehoashi, ushujaa wake na vita alivyopigana na mfalme Amazia wa Yuda, yameandikwa katika Kitabu cha Mambo ya Nyakati za Wafalme wa Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Na kwa matukio mengine ya utawala wa Yehoashi, yote aliyoyafanya na mafanikio yake, pamoja na vita yake dhidi ya Amazia mfalme wa Yuda, je, hayakuandikwa katika kitabu cha kumbukumbu cha wafalme wa Israeli?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Na kwa matukio mengine ya utawala wa Yehoashi, yote aliyoyafanya na mafanikio yake, pamoja na vita yake dhidi ya Amazia mfalme wa Yuda, je, hayakuandikwa katika kitabu cha kumbukumbu za wafalme wa Israeli?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi mambo yote ya Yehoashi yaliyosalia, na yote aliyoyafanya, na ushujaa wake aliopigania na Amazia mfalme wa Yuda, je! Hayakuandikwa katika Kitabu cha Kumbukumbu za Wafalme wa Israeli?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Matendo mengine yote ya Yehoashi, ushujaa wake na vita alivyopigana na mfalme Amazia wa Yuda, yameandikwa katika Kitabu cha Mambo ya Nyakati za Wafalme wa Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mambo mengine ya Yoasi nayo yote, aliyoyafanya, na matendo yake yenye nguvu, aliyoyatenda alipopiga vita na Amasia, mfalme wa Wayuda, hayakuandikwa katika kitabu cha mambo ya siku za wafalme wa Waisiraeli?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi mambo yote ya Yehoashi yaliyosalia, na yote aliyoyafanya, na ushujaa wake aliopigania na Amazia mfalme wa Yuda, je! Hayakuandikwa katika kitabu-cha-tarehe cha wafalme wa Israeli?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mambo mengine ya Yoasi, yote aliyofanya na ushujaa wake katika vita alivyopigana na mufalme Amazia wa Yuda, yameandikwa katika Kitabu cha Mambo ya Siku za Wafalme wa Israeli.